HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 06, 2013

YANGA YAIZIMA MTBWA SUGAR
Hadi mwisho wa mchezo ubao ulisomeka hivi. (Picha na John Dande)
Mrisho Ngasa akimtoka beki wa Mtibwa Sunga. Paul George.
 Mashabiki wa Yanga.
 Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Paul George.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia kwa staili ya aina yake baada ya mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa kuifungia timu yake bao la kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara shidi ya Mtibwa sugar uliofanyika leokwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0.

No comments:

Post a Comment

Pages