HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 17, 2013

THE TANZANITE YAKABIDHIWA BENDERA
Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura (wa pili kushoto), akimkabidhi bendera ya taifa nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20 ‘The Tanzanite,’ Fatuma Issa. Tanzanite, inasafiri Jumatano kwenda Afrika Kusini kwa mechi ya marudiano dhidi ya timu ya taifa ya wasichana ya huko ‘Basetsana’ itakayopigwa Jumamosi Desemba 21. (Picha na Habari Mseto Blog) 

No comments:

Post a Comment

Pages