Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuyafungua Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,na (kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)
Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.akipokea Sarafu ya Shilingi Hamsini,ya sherehe za Mapinduzi,kutoka kwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Juma Reli,iliyotengenezwa kwa Fedha,ambayo imetolewa kwa Viongozi wa Juu,katika ufunguzi wa maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
No comments:
Post a Comment