HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 10, 2014

IGP: MAANDAMANO, MIKUTANO YA SIASA KUFUATA TARATIBU
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza na waandishi wa nhabari Makao Makuu ya jeshi hilo jijini Dar es Salaam, kuhusu mkakati wa jeshi lake katika kupambana na vitendo vya uhalifu. (Picha na Francis Dande)
 Mkuu wa Jeshi la Polisi, Ernest Mangu akizungumza na waandishi wa nhabari Makao Makuu ya jeshi hilo jijini Dar es Salaam, kuhusu mkakati wa jeshi lake katika kupambana na vitendo vya uhalifu. Katikati ni Naibu wake, Abdulrahman Kaniki.

No comments:

Post a Comment

Pages