HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 03, 2014

RICHARD NA JANETH WAMEREMETA
 Bwana Harusi, Richard Koelo akiwa amepozi na Bi. Janeth wakati wa ibada ya ndoa iliyofanyika katika Kanisa la Katoliki Mwananyamala jijini Dar es Salaam na kufuatiwa na sherehe kabambe iliyofanyika katika ukumbi wa Mikocheni Resort hivi karibuni. 
 Janeth akimvisha pete Bw. harusi Richard Koelo. 
 Maharusi wakiwa wamepozi kwa picha.
 Maharusi wakiwa katika pozi tofauti.

No comments:

Post a Comment

Pages