HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 03, 2014

CHADEMA WAFANYA KIKAO CHA KAMATI KUU LEO
 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk. Wilbroad Slaa (kushoto) na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed wakati wa Kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu.

No comments:

Post a Comment

Pages