Meneja wa Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi
na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akiongea
jambo kwa wafanyakazi wa TCRA walioambatana pamoja na familia zao katika
siku ya Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani
Bagamoyo mkoani Pwani.
02. Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa. Akisakata dansi na wafanyakazi na Katibu Mhitasi Halima Magonga (kulia)wakati wa kuadhimisha siku ya Familia(FamilyDay) iliyofanyika katika ufukwe wa Livingstone Wilayani Bagamoyo.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa Livingston Bagamoyo ,Hafla hiyo iliwashirikisha wafanyakazi na familia zao.
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akimkabidhi mmoja wa wafanyakazi wa TCRA Juhudi Ngoza Kuku baada ya kuwashinda wenzake wakati wa Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo .Anayeshudia ni Mhasibu wa Mamlaka hiyo Patrice Lumumba.
Watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa Hotel ya Livingston Wilayani Bagamoyo.
Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Patrice Lumumba akiongea jambo kwa wafanyakazi wenzake pamoja na familia zao wakati wa siku ya Family Day iliyofanyika katika Hotel ya Livingstoni Wilayani Bagamoyo jana.
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akimkabidhi Kuku David Mapunda baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa kukimbia na gunia wakati wa siku ya Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo.
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Kanda ya Mashariki Eng. Oscar Mwanjesa, akimkabidhi Zainabu Sadiki kuku baada ya kuwashinda wenzake katika shindano la kukimbia na gunia wakati wa siku ya family Day ya wafanyakazi wa Mamlaka hiyo iliyofanyika katika hoteli ya Livingston Bagamoyo.
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakishindana kukimbia na gunia wakati wa siku ya family Day ya wafanyakazi wa mamlaka hiyo iliyofanyika katika hotel ya Livingston Bagamoyo.
Baahi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na familia zoa wakati wa siku ya familyDay iliyofanyika katika Hoteli ya Livingston Bagamoyo.
11.Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Morogoro,Pwani, Mtwara.Lindi,na Dar es Salaam. Wakiwa katika picha ya pamoja na familia zao wakati wa siku ya family Day iliyofanyika katika Hoteli ya Livingston iliyop Wilayani Bagamoyo.
No comments:
Post a Comment