Golikipa wa JKT Ruvu, Shaban Dihile akiokoa moja ya hatari
zilizoelekezwa langoni mwake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. JKT Ruvu
ilishinda 3-2.
Beki wa Simba, Issa Rashid (kulia), akichuana na mchezaji wa JKT Ruvu, Amos Mgisa wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. JKT Ruvu ilishinda 3-2.
Kocha wa JTK Ruvu, Fred Felix ‘Minziro’ akitoka uwanjani ya pambano la Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kumalizika, ambapo timu yake iliifunga Simba 3-2.
Kocha
wa JKT Ruvu, Fred Felix ‘Minziro’ akiwa
amebebwa juu baada ya timu yake kuifunga Simba mabao 3-2 katika mchezo
wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar
es salaam.
Mshambuliaji wa Simba, Amis Tambwe (kushoto), akitafuta mbinu
za kumtoka beki wa JKT Ruvu, Nashon Naftali katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka
Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. JKT Ruvu
imeshinda 3-2.
Wachezaji
wa timu ya JKT Ruvu, wakishangilia bao la pili la timu yao dhidi ya Simba wakati
wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es salaam. JKT Ruvu imeshinda 3-2.
Mashabiki wa Simba wakishuhudia timu yao ikipata kipigo.
No comments:
Post a Comment