HABARI MSETO (HEADER)


March 14, 2014

STANLEY NA CHRISTINA WAMEREMETA
 Bwana Harusi, Crown Stanley na Christina Richard wakiwa wenye furaha baada ya kufunga ndoa yao iliyofanyika hivi karibuni katika Kanisa la St. Joseph Kinondoni  na kufuatiwa na Sherehe kubwa iliyofanyika katika Hoteli ya Lamada Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages