HABARI MSETO (HEADER)


July 02, 2014

MTOTO WA KIKE WA MIAKA TISA APANDA MLIMA KILIMANJARO KUPITIA NJIA NGUMU
Mtoto wa miaka tisa (9) Idda Baitwa (kulia) akiwa na wenzake wakianza safari  ya kuweka rekodi ya kupanda Mlima Kilimanjaro akiwa na umri mdogo zaidi huku akitumia njia ya Umbwe ambayo inaaminika kuwa ngumu zaidi kwa watalii wakati wa kupanda mlima huo. (Na Dixon Busagaga)

No comments:

Post a Comment

Pages