Askari feki wa Usalama Barabarani ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akiwa chini ya ulinzi wa askari Polisi (hayupo pichani), mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya askari wa usalama barabarani huku akifahamu kufanya hivyo ni kosa kisheria. Inasemekana mtuhumiwa huyo aliwahi kuwa askari wa usalama barabarani ambapoi kituo chake cha kazi kilikuwa Mkoa wa Pwani na ni miongoni mwa askari waliofukuzwa kazi kwa kwenda kinyume na taratibu na sheria za jeshi la Polisi Tanzania. (Picha kwa hisani ya Michuzi Blog)
Askari Polisi ambaye jina lake halikuweza kufahamika (kulia), akimdhibiti askari feki wa Usalama Barabarani baada ya kumkamata katika eneo la Chamazi jijini Dar es Salaam.
Askari feki akiwa ameduwaa baada ya kutiwa nguvuni na Jeshi la Polisi katika eneo la Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment