Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maendeleo ya Agakhan Duniani, His Higness Prince Karim Agakhan, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2014 kwa mazungumzo. Mtukufu Agakhan yupo nchini kwa ziara binafsi ya siku nne, ambapo pia atatumia fursa hiyo kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo ya Taasisi hiyo, ikiwa ni pamoja na kukagua mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Agakhan ‘New Compass of Agakhan Univercity’ kinachojengwa jijini Arusha. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza
na Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maendeleo ya Agakhan Duniani,
His Higness Prince Karim Agakhan, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2014 kwa mazungumzo. Kulia ni Mbunge Tabora Kaskazini, Shafin
Sumari. Mtukufu Agakhan yupo nchini kwa ziara binafsi ya siku nne, ambapo pia
atatumia fursa hiyo kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo ya Taasisi hiyo,
ikiwa ni pamoja na kukagua mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Agakhan ‘New Compass
of Agakhan Univercity’ kinachojengwa jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment