Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi (kushoto), akipeana
mkono na Ofisa Mtendaji Mkuu wa QCS, Balachandran Ramachandran mara
baada ya kuzindua magari yanayotengenezwa na Kampuni ya Mahindra ambayo yametambulishwa jana katika soko la Tanzania. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es
Salaam.(Picha na Francis Dande)
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi akikata
utepe wakati wa uzinduzi wa magari yanayotengenezwa na Kampuni ya Mahindra na
kuyatambulisha katika soko la Tanzania, uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa QCS, Balachandran Ramachandran.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond
Mushi (wa pili kushoto), Ofisa Mtendaji Mkuu wa QCS, Balachandran Ramachandran
(kulia) wakizindua kwa pamoja magari yanayotengenezwa na Kampuni ya Mahindra jijini
Dar es Salaam jana, wakati wa kuyatambulisha magari hayo katika soko la
Tanzania.
No comments:
Post a Comment