Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga akitoa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi kuhusu, mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT.
Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, wakimsikiliza Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga wakati akitoa mafunzo kwa watumishi hao juu ya mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT.
Mkurugenzi wa Masoko na Uhusino wa UTT akitoa elimu kwa wakulima wa wilaya ya Tandahimba juu ya mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT kwenye maonyesho ya Nane Nane yanayofanyika mkoani Lindi. (Picha kwa Hisani ya UTT)
No comments:
Post a Comment