HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 13, 2014

MOTO WATEKETEZA MSIKITI WA MTAMBANI

 Moto ukiunguza jengo la Msikiti waMtambani. (Picha zote na Francis Dande)
 Wananchi wakichota maji katika harakati za kusaidia kuzima moto.
 Askari wakiimarisha ulinzi.
 Polisi wakiwa wakiwa katika eneo la tukio. 
 Juhudi za pamoja zilisaidia kupunguza kasi ya moto.
 Tunajitolewa kuzima moto.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto akipokea ndoo za maji kwa ajili ya kujaza katika gari.
 Mfanyakazi wa kampuni ya Altimate akiongeza maji kwenye gari kwa kutumia ndoo baada ya gari lao kuishiwa maji.
 Gari la zimamoto likiwa limezungukwa na vijana waliokuwa wakisaidia zoezi la kuzima moto katika msikiti wa Mtambani Kinondoni.
 Baadhi  ya vijana wakisaidiana na wafanyakazi wa Kikosi cha Zimamoto kutoka kampuni ya Altimate Security kuweka maji katika gari baada ya gari hilo kuishiwa maji.
 Moto ukishika kasi.
 Moto ukienea katika ghorofa ya pili. 

No comments:

Post a Comment

Pages