Wananchi wa Mkoa wa Lindi wakipata Elimu juu ya Uratibu
wa Shughuli za Serikali katika Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu walipotembelea
Banda hilo katika Maonesho ya Kitaifa ya Wakulima Nane Nane tarehe 3 Agosti,
2014. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu, Kitengo cha Mawasiliano Tarehe 4 Agosti, 2014
Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Edga Senga akipokea maelekezo kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr. Florence Turuka kuhusu masuala ya Maafa alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea katika Mkoani Dodoma, Tarehe 3 Agosti, 2014.
Mratibu Msaidizi wa Tovuti ya TAYOA Bw. John J. Mindu akimweleza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Florence Turuka kuhusu tovuti ya vijana ya vijanatz. Com inayoelezea masuala ya Biashara, Afya, Ajira kwa vijana ili waweze kujiendeleza, wakati alipotembelea Banda hilo katika Maonesho ya Wakulima NAne Nane tarehe 3 Agosti, 2014.
No comments:
Post a Comment