HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 03, 2014

WAKE WA VIONGOZI WAMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE NYUMBANI KWAKE MSASANI

 Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda ambaye ni mlezi wa kikundi cha Wake waViongozi (New Mellenium Women Group) akimsikiliza kwa makini Mama Maria Nyerere wakati wanachama wa walipo mtembelea Mama Nyerere nyumbani kwake kwa ajili yakumjulia hali pamoja na kumpatia zawadi mbalimbali kutokana na mchango wake mkubwa aliokuwa anampa Baba wa Taifa ambao ulisaidia kuleta amani utulivu na maendeleo ndani ya nnchi na nnje ya Tanzania. (Picha na Chris Mfinanga)
 Mama Maria Nyerere na MamaTunu Pinda wakiangali picha zao walizo pigwa na Mama Othmani  kwenye simu ya kiganjani wakati kikundi cha wake wa viongozi walipomtembelea Mama Nyerere nyumbani kwake Msasani kumjulia hali.
Kikundi cha wake wa viongozi wakiwa katika picha ya pamoja na Mama Maria Nyerere walioketi kwenda katikati ni Mama Mama Nyerere kushoto ni Mama Tunu Pinda, Mama Regina Lowasa kwenda kulia ni Mama Kawawa akifuatiwa na Mama Sumaye.

No comments:

Post a Comment

Pages