HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 12, 2015

MBOWE AKABIDHI AMBULANCE MBILI KWA HOSPTALI YA WILAYA YA HAI NA HOSPTALI YA MACHAME

Haya ni maneno yaliyoandikwa katika magari hayo.
Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa amembeba mtoto mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Kuni na kulakiwa na wananchi katika jimbo hilo.
Magari ya wagonjwa yaliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Hai kwa ajili ya wagonjwa jimboni humo.
Mbunge Mbowe akiwa amembeba moja ya watoto waliofika uwanjani hapo kwa ajili ya kushuhudia msaada wa magari ya wagonjwa yaliyotolewa na mbunge huyo kwa watu wa jimbo la Hai.
Muonekano wa ndani wa magari hayo ya kubebea wagonjwa .
Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria shighuli ya makabidhiano iliyofanyika katika uwanja wa Kuni ,Bomang'ombe wilayani Hai.
Mbunge wa jimbo la Hai ,akiuzungumza juu ya msaada huo kwa watu wa jimbo la Hai.
Mbunge wa jimbo la Hai, Freeman Mbowe akikabidhi nyaraka mbalimbali za magari hayo kwa Baba Mchungaji Asanterabi Swai ambaye pia ni mkuu wa jimbo kwa niaba ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT).
Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akikabidhi funguo wa gari kwa mganga mkuu wa wilaya ya Hai,Dkt Paul Chawote ,msada uliotolewa kwa ajili ya hosptali ya wilaya ya Hai.
Wananchi wakifurahia msaada huo.
Mbunge wa Jimbo la Hai ,Freeeman Mbowe akizungumza na wananchi mara baada ya kukabidhi msaada wa magari mawili ya kubebea wagonjwa.

No comments:

Post a Comment

Pages