HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 12, 2015

ZIARA YA CHAMA CHA ACT KATIKA PICHA

 Viongozi wa Chama cha ACT –Wazalendo wakiangalia mazao ya wakulima.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa Njombe wakifuatiliakwa makini huku wakinyeshewa na mvua.
 Kiongozi wa Chama cha Alliance For Change and Transparency
(ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Njombe huku akinyeshewa na mvua mjni humo jana ambapo wakazi waliojitokeza walikubali kurowa ili kumsikiliza.
 Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Samson Mwigamba akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini.
 Kiongozi wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini.

No comments:

Post a Comment

Pages