HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 13, 2015

MAJAMBAZI WAVAMIA KITUO CHA P[OLISI NA KUPORA SILAHA, WAUA POLISI WANNE, RAIA WAWILI NA JAMBAZI MMOJA AUAWA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP. Ernest Mangu, akizungumza na waandishi wa habari katika Kituo cha Polisi Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam kilichovamiwa na majambazi na kusababisha vifo vya Polisi wanne, raia wawili na jambazi mmoja. Kushoto ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Alhaji. Suleiman Kova.
Pikipiki iliyotumiwa na majambazi kuvamia kituo hicho
Ulinzi ukiwa umehimarishwa kuzunguka eneo la kituo cha Polisi Stakishari kilichpo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP. Ernest Mangu (kulia), akitoka ndani ya Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam kuangalia madhala yaliofanywa na majambazi waliovamia kituo hicho na  kusababisha vifo vya Polisi wanne, raia wawili na jambazi mmoja.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP. Ernest Mangu, akizungumza na waandishi wa habari katika Kituo cha Polisi Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam baada ya kutokea tukio la kuvamiwa kwa kituo cha Polisi.

No comments:

Post a Comment

Pages