HABARI MSETO (HEADER)


September 08, 2015

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA, JUMA DUNI HAJI AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI WILAYANI KOROGWE

Mgombea ubunge wa Viti Maalum, Amina Saguti akimuombea kura mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Korogwe mjini.
 Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Zanzibar kupitia CUF, Habib Mnyaa akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika Korogwe mjini kabla mgombea Mwenza Juma Duni Haji kupanda jukwaani kuomba kura kwa wapigakura.
 Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mohamed akimuombea kura mgombea urais kupitia Ukawa Edward Lowassa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Korogwe mjini mkoani Tanga.
 Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mohamed akimuombea kura mgombea urais kupitia Ukawa Edward Lowassa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Korogwe mjini mkoani Tanga.
 Wafuasi wa Ukawa wakifuatilia mkutano wa kampeni Korogwe mjini.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mohamed akimtambulisha mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Korogwe vijijini.
 Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Korogwe mjini.
 Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni jimbo la Korogwe vijijini.
 Wafuasi wa Ukawa wakigombea bendera za Chadema.
 Waendesha bodaboda wakionyesha manjonjo yao.
 Kushangilia.

Wakazi wa Mombo wakimsikiliza mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema.
Wakazi wa Mombo wakimsikiliza mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema Juma Duni Haji.

No comments:

Post a Comment

Pages