UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WAFANYAKAZI WA TAASISI ZA ELIMU MKOANI TANGA
Mkurugenzi
wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya UTT AMIS, Daud Mbaga (katikati),
akitoa mada kuhusu Uwekezaji wa Pamoja wakati wa mkutano wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu Tanzania uliyofanyika mjini Tanga. (Na Mpigapicha Wetu)
Ofisa Masoko na Uhusiano Mwandamizi
wa UTT
AMIS, Martha Mashiku akitoa elimu ya
uwekezaji wa
pamoja katika mkutano wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu Tanzania.
Mwanachama mpya wa UTT AMIS akijaza fomu ya kuwa mwekezaji katika mfuko wa Uwekezaji wa pamoja wa umoja wa UTT AMIS.
Mwanachama mpya wa UTT AMIS akijaza fomu ya kuwa mwekezaji katika mfuko wa Uwekezaji wa pamoja wa umoja wa UTT AMIS.
Washiriki wakisikiliza mada kuhusu faida za Uwekezaji wa Pamoja wakati wa mkutano wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu Tanzania ulioandaliwa na UTT-AMIS.
Ofisa Masoko Mkufunzi wa UTT AMIS, Waziri Ramadhani, akitoa Elimu ya Uwekezaji wa pamoja wakati wa mkutano wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu Tanzania.
No comments:
Post a Comment