Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo
(SIDO), Bw.
Omar Jumanne Bakari (wa
tatu kulia) akitoa maelezo kwa timu ya wataalam kutoka Tume ya Mipango ikiongozwa na
Bibi. Florence Mwanri Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kuhusu ufanisi
wa mashine ya kutengenezea sabuni katika kiwanda kidogo cha sabuni ambazo soko
lake linapatikana jijini Dar es Saalam na mikoa ya jirani.
Viongozi
na maofisa kutoka Tume ya Mipango wakipata maelezo kutoka kwa Bw. Abdallah
Kayumbi (wa kwanza kulia) kuhusu uzalishaji wa vifaa vinavyotumika kuzalisha
nishati ya umeme kwa kutumia upepo (wind
Turbines).
No comments:
Post a Comment