HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 31, 2016

KAMPUNI YA ACACIA YASAINI MKATABA WA KUENDELEZA SOKA NA KLABU YA SUNDERLAND

 Makamu wa Rais wa Kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika (kushoto) akisaini mkataba wa ushirikiano wa kuendeleza soka nchini na Klabu ya Sunderland ya Uingereza jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Biashara wa klabu hiyo, Gary Hutchinson. (Picha na Francis Dande)
 Makamu wa Rais wa Kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika (kushoto) akipokea jezi ya Sunderland kutoka kwa Mkurugenzi wa Biashara wa Klabu hiyo, Gary Hutchinson baada ya kusaini mkataba wa ushirikiano wa kuendeleza soka jijini Dar es Salaam. Katikati ni Rais wa TFF, Jamal Malinzi.
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika (kushoto) akibadilishana hati na Mkurugenzi wa Biashara wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza, Gary Hutchinson baada ya kusaini mkataba wa ushirikiano wa kuendeleza soka jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages