HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 29, 2016

RAIS MAGUFULI APOKELEWA KWA SHANGWE ALIPOTUA MWANZA KWA MUDA AKIELEKEA CHATO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikaribishwa kusalimia wanannchi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella baada ya kutua kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo Machi 29, 2016. (Picha na Ikulu)
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiburudishwa na ngoma za Utamaduni baada ya kutua kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo Machi 29, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Askari wa Kikosi cha  Zimamoto na Uokoaji wa Uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya kutua kwa muda  akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo Machi 29, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa Uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya kutua kwa muda  akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo Machi 29, 2016 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na umati wa watu uliojitokeza kumlaki baada ya kutua kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo Machi 29, 2016
 Viongozi wa dini wakimuombea  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli baada ya kutua kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo Machi 29, 2016.

No comments:

Post a Comment

Pages