Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Joseph Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wa mkoa wa Mwanza wakijipatia chakula cha mchana katika mgahawa wa Victoria uliopo nye ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza alipopumzika kwa muda kabla ya kuelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita kwa mapumziko mafupi. Pamoja nao mezani hapo ni Meya wa Ilemela Mstahiki Renatus Mulunga, Meya wa jiji la Mwanza Mstahiki James Bwire, Mkuu wa Mkoa wa MWanza Mhe John Mongella na Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo Ndg Anthony Diallo. PICHA NA IKULU.
Rais Dk.John Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wa mkoa wa Mwanza wakijipatia
chakula cha mchana katika mgahawa wa Victoria uliopo nje ya Uwanja wa Ndege wa
Mwanza alipopumzika kwa muda kabla ya kuelekea nyumbani kwake Chato mkoani
Geita kwa mapumziko mafupi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Joseph Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wa mkoa wa Mwanza wakiwa katika picha ya pamopja na kwaya ya Vijana ya Makongoro na viongozi wa dini katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza alipopumzika kwa muda kabla ya kuelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita kwa mapumziko mafupi.
No comments:
Post a Comment