Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika ukumbi wa Karimjee wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa viti maalumu (Chadema), Christina Lissu ambapo mwili wake umesafirishwa leo kwenda mkoani Singida kwa mazishi. (Picha na Francis Dande)
Rais John Magufuli akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa mbunge wa viti maalumu (Chadema), Christina Lissu katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais John Magufuli akitoka katika ukumbi baada ya kushiriki shughuli za kuaga mwili wa mbunge wa viti maalumu (Chadema), Christina Lissu.
Mbunge wa Iringa mjini mchungaji Petr Msigwa akiwa na mbunge wa Kawe Halima Mdee wakiwa na waombolezaji wengine.
Baadhi ya viongozi.
Familia ya marehemu Christina wakati wa kuaga mwili kabla ya kuusafirisha kwenda Singida kwa mazishi.
Mtoto wa marehemu Veronica Marwa (kushoto)
Baadhi ya wabunge na viongozi wa Chadema.
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick sumaye akitoa heshima za mwisho.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akitoa heshima za mwisho.
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi akitoa heshima za mwisho.
Baadhi ya wabunge na waombolezaji wengine.
Rais John Magufuli akipa mkono wa pole mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu wakati wa kuaga mwili wa dada yake, Christina Lissu.
Mtoto wa marehemu Veronica Marwa akitoa heshima za mwisho.
Tundu Lissu akitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa dada yake Christina Lissu.
Askari wa Bunge wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu, Christina Lissu.
Askari wa Bunge wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu, Christina Lissu.
Ndugu wakiwa wamebea maua.
Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Christina likiingizwa katika gari.
Mkuu wa Mkoa wa dar es Salaam, Paul Makonda akibadilishana mawazo na kaka wa marehemu Tundu Lissu (kushoto) na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe.

No comments:
Post a Comment