HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 15, 2016

OLE SENDEKA AKUTANA NA MAKATIBU NA WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA WILAYANI HAI MKOANI KILIMANJARO

 Msemaji wa CCM, Chrisopher Ole Sendeka akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Hai, Dk Amini Uronu, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Kilimanjaro leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Ruta.
 Msemaji wa CCM, Chrisopher Ole Sendeka akisalimiana na Katibu wa CCM wilaya ya Hai, Katibu Allan Kingazi, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Kilimanjaro leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Ruta
 Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili Ofisi ya CCM wilaya ya Hai, leo
 Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisi ya CCM wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Dk Amini Uronu
 Mjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Kilumbe Ng'enda akiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Ruta, kwenye ofisi ya CCM wilaya ya Hai
 Msemaji wa CCM Oe Sendeka akizungumza na wajumbe wa Sekretatieti ya CCM wilaya ya Hai
 Madereva Yahaya Chillumba na Maoud Fundikira wakiwa imara baada ya kuwasili na msafara wa Msemaji wa CCM Ole Sendeka katika Ofisi ya CCM wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro leo
 Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akiingia ukumbini kuzungumza na Makatibu na Wajumbe wa Kamati ya Siasa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro leo
 Katibu wa CCM wilaya ya Hai akimkaribisha Ole sendeka
 Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanajro akizungumza maneno ya utangulizi kabla ya Ole Sendeka kuzungumza katika kikao hicho
 Wajumbe wakiwa ukumbini katika kikao hicho
 Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akiteta jambo na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Gratius Ruta wakati wa kikao hicho
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Hai, Dk Amini Uronu akimkaribisha Ole Sendeka kuzungmza katika kikao hicho
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Hai, Dk Amini Uronu akimkaribisha Ole Sendeka kuzungmza katika kikao hicho

Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akizungumza na Makatibu na Wajumbe wa Kamati ya Siasa  wa wilaya ya Hai mkoani Kiimanjaro leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Pages