HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 13, 2016

NAPE NNAUYE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MWANAMUZIKI NGULI NDANDA KOSOVO

 Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo. Nape Nnauye akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa mwanamuzi nguli wa muziki wa dansi Ndanda Kosovo ‘Kichaa’ kabla ya mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa mwanamuzi nguli wa muziki wa dansi Ndanda Kosovo ‘Kichaa’ kabla ya mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Kwa heri Ndanda.
 Nyoshi El Sadat akiwaongoza wanamuziki wa bendi ya FM Academia wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi marehemu Ngongo Onawembo "Ndanda Kosovo".
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika foleni ya kuaga mwili wa marehemu Ndanda Kosovo.
 Baadhi ya wanamuziki waliojitokeza katika mazishi ya Ndanda Kosovo.

No comments:

Post a Comment

Pages