Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la pili la timu yao baada ya Haruna Niyonima kuifungia bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Mwadui FC uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1. (Picha na Francis Dande)
raha ya ushindi.
Kocha wa Yanga Hans Van Der Pluijm akishangilia na wachezaji wake.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia.
David Luhende akitafuta mbinu za kumtoka mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva.
Simon Msuva akimshukuru mungu baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza.
Beki wa Mwadui, Joram Mgeveke akimiliki mpira huku mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akiwania mpira.
Kipa wa Mwadui, Shaban Kado akiokoa mpira uliopigwa na Oscar Joshua.
Donald Ngoma akimtoka beki wa Mwadui, Iddy Mobby.
Ngoma akilimiki mpira.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Haruna Niyonzima akiwatoka wacheaji wa Mwadui.
No comments:
Post a Comment