Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm aiwaongoza wachezaji na viongozi wa timu hiyo walipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataia wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakitokea Misri katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo timu hiyo ilitolewa kwa jumla ya mabao 3-2 na Al Ahly.
Kuwasili.
Nadir Haroub 'Canavaro', Juma Abdul wakiwasili kutokea Misri katika mchezo wao.
Wachezaji wa Yanga wakiwasili.
Mashabiki wa Yanga wakiwa
wamembeba juu golikipa wa timu hiyo, Deogratius Munishi ‘Dida’ walipowasili
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
jana, wakitokea Misri katika mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Wanachama na mashabiki wa Yanga wakitoa burudani wakati wa mapokezi wa timu hiyo.
No comments:
Post a Comment