Meneja wa Bia ya Castle Light Nicholous John, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, baada ya Uzinduzi wa Chupa mpya yenye Ujazo wa milimita 440 iliyofanyika katika Ukumbi wa Break Point Kinondoni Makaburini.
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia TBL, Kushila Thomas, akimpa zawadi mmoja wa wananchi walioshiriki katika uzinduzi huo.
Wafanyakazi wa Kampuni ya TBL, wakiwa katika hali ya furaha baada ya uzinduzi wa Bia ya Castle Light yenye ujazo wa milimita 440.
No comments:
Post a Comment