Meneja wa Huduma za Jamii wa Tigo, Woinde Shishael akizungumza na waandishi wa habari.
Meneja wa Huduma za jamii wa Tigo, Woinde Shishael akikabidhi hundi ya mfano ya dola 12,000/ kwa Mtendaji Mkuu wa Csema, Kiiga Joel, wakati wa sherehe za siku ya mtoto wa Afrika katika Viwanja vya Jakaya Kikwete Youth ark
Baadhi ya watoto wakiwa uwanjani.
watoto katika michezo mbalimbali.
Watoto katika picha ya Pamoja.
Mmoja ya watoto wakiwa katika michezo
No comments:
Post a Comment