Mwanasheria wa Property International Limited Hazel
Chonya (wa pili kushoto) akimkabidhi mwanasheria wa Bayport, Mrisho Mohamed (wa
pili kulia) baadhi ya hati za viwanja vilivyosajiliwa na wizara ya ardhi nyumba
na maendeleo ya makazi kwa wateja wa Bayport kwa viwanja vya mradi wa Vikuruti
Kibaha, mradi ambao unauzwa na kampuni ya Property International Limited kwa
kushirikiana na Bayport. Kushoto) Ofisa Uendeshaji Property
International,George Obado na Meneja Masoko wa Property International Leila
Maingu
June 16, 2016
Home
Unlabelled
International Limited Yakabidhi Bayport Hati za Viwanja vya Mradi wa Vikuruti Kibaha Pwani
International Limited Yakabidhi Bayport Hati za Viwanja vya Mradi wa Vikuruti Kibaha Pwani
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment