Rais John Magufuli akipeana mkono na Mkuregenzi wa Shirikisho la wenye Viwanda Tanzania (CTI), Leodgar Chilla Tenga wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo za mzalishaji bora 2015. (Picha na Francis Dande)
Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Rais za Mzalishaji Bora 2015 zilidhofanyika jijini Dar es salaam na kudhaminiwa Benki M.
Rais John Magufuli akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Benki M, Jacqueline Woiso wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo za Rais
za Mzalishaji Bora wa 2015.
Rais John Magufuli akiwa na washindi mbalimbali wa tuzo za Rais za Mzalishaji Bora wa 2015.
1Rais John Magufuli akimkadhi tuzo za Rais za Mzalishaji Bora 2015, Ofisa Mtendaji Mkuu wa METL Group, Mohammed Dewji katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana na kudhaminiwa na Benki M. Katikati ni Mwenyekiti wa CTI, Dk. Samuel Nyantahe.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Roberto Jarrin akiwa na tuzo yake baada ya kampuni hiyo kuibuka washindi wa jumla.
Rais John Magufuli akimkadhi tuzo za Rais za Mzalishaji Bora 2015, Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Roberto Jarrin baada ya kuibuka washindi wa jumla. Hafla hiyo ilidhaminiwa na Benki M na kufanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Roberto Jarrin.
Wafanyakazi wa TBL wakiwa katikapicha ya pamoja.Katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Roberto Jarrin.
No comments:
Post a Comment