HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 02, 2016

MAMLAKA YA USIMAMIZI NA UDHIBITI WA SEKTA YA HIFADHI YA JAMII (SSRA) KATIKA MADHIMISHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA YANAYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI

Mkuu wa Kitengocha uhusino na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika (katikati) akigawa baadhi ya vifaa vya uhamasishaji kwa wadau waliotembelea banda la SSRA katika maonesho ya sherehe za Wakulima katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi jana. Maadhimisho ya sikukuu hiyo, yatafanyika Agost 8, 2016.
Bi. Sarah Kibonde Msika (kulia) na Bw. Mathayo Mihayo (Kushoto) wakitoa maelezo mbalimbali ya Hifadhi ya Jamii kwa wananchi waliotembelea banda la SSRA katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi katika maonesho ya Nane nane.
Wananchi mbalimbali wakipata maelezo ya Sekta ya Hifadhi ya Jamii kutoka kwa Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Hifadhi ya Jamii (SSRA) katika maonesho ya Nane nane.
Wananchi mbalimbali wakipata maelezo ya Sekta ya Hifadhi ya Jamii kutoka kwa Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Hifadhi ya Jamii (SSRA) katika maonesho ya Nane nane mjini Lindi

No comments:

Post a Comment

Pages