HABARI MSETO (HEADER)


August 04, 2016

NAIBU SPIKA AIPIGA TAFU SHULE YA MSINGI MABONDE

Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Tulia Mwansasu akizungumza na wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Mabonde mjini Tukuyu Wilayani Rungwe shule aliyosoma mwaka 1984-1990 na kutoa msaaada wa shilingi milioni tano kwa ajili ya ukarabati wa madarasa. (PICHA NA KENNETH NGELESI)
Naibu Spika, Dk Tulia Mwansasu akiwa katika picha ya pamoja wanafunzi wa shule ya Msingi Mabionde aliyosma mwaka 1984-1990 na kutoa msaada wa shilingi milioni tano kwa ajili ya ukarabati madarasa.
Naibu Spika wa Bunge wa Jumuhuri wa Tanzania, Dk Tulia Mwansasu akiwa katika picha ya pamoja wanafunzi wa shule ya Msingi Mabionde aliyosma mwaka 1984-1990 na kutoa msaada wa shilingi milioni tano kwa ajili ya ukarabati madarasa.
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mabonde mjini Tukuyu, Rungwe wakimisikiliza Naibu Spika Dk. Tulia Mwansasu hayupo katia picha alitembelea shule hio ambayo alisoma kati ya mwaka 1984-1990 na kutoa masaada wa shilingi milioni tano (5) kwa ajili ya kufnya ukarabati wa madarasa.

No comments:

Post a Comment

Pages