Afisa Matekelezo Mkoa wa Lindi, Adam Mbena
akichukua taarifa za mwanachama mpya wakati akimuandikisha kwenue maonesho ya
nanenane mkoani Lindi.
Afisa wa NSSF mkoani Lindi Saad Juma akimsaidia
mwanacha aliyekuwa akijaza fomu ya NSSF ili kujiandikisha kwenye maonesho ya
Nanenane Mkoani Lindo.
Ofisa Uwekezaji Kitengo cha Mauzo ya Nyumba, Munira Omary akimuelezea Meneja wa NSSF mkoa wa Lindi, Nour Aziz kuhusu uuzaji wa nyumba na viwanja alipotembelea kwenye banda LA NSSF kwenye maonesho ya Nanenane Lindi.
Afisa NSSF mkoa wa Lindi, Saad Juma
akimuandikisha mwanachama mpya kwa kutumia teknolojia mpya ya Kifaa kiitwacho
Tazpad wakati wa maonesho ya nanenane mkoani Lindi.
Ofisa NSSF mkoani Lindi, Saad Juma akiwa amezungukwa na watu wanaosubiri kujiandikisha na NSSF kwenye
maonesho ya nanenane yanayoendelea Lindi.
Meneja wa NSSF mkoa wa Lindi Nour
Aziz (katikati) akiongea na mmoja wa wakazi wa Lindi waliokuja kujiandikisha na
NSSF kwenye maonesho ya Nanenane mkoani Lindi.
Ofisa Uwekezaji Kitengo cha Mauzo ya Nyumba wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Munira Omary (kulia), akimpa maelezo mmoja wa wakazi wa Lindi aliyetembelea kwenye banda la NSSF kwenye maonesho ya Nanenane Mkoani Lindi juu ya ununuzi wa nyumba kwa njia ya mkopo, mwanachama anaweza kununua nyumba hizo kwa kulipa kidogokidogo kwa miaka 15 akiwa anaishi ndani ya nyumba hizo.

No comments:
Post a Comment