HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 28, 2016

YANGA HII NOMA, YAITUNGUA AFRICAN LYON 3-0

Wachezaji Deus Kaseke (kulia) na Juma Mahadhi (kushoto), wakimpongeza mwenzao, Simon Msuva baada ya kuifungia Yanga bao la pili dhidi ya African Lyon katika mechi ya Ligi Kuu (VPL) kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kaseke alifunga bao la kwanza, Mahadhi akafunga la tatu katika ushindi wa mabao 3-0. (Picha na Francis Dande)
 Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm akifuatilia mchezo huo.
 Kikosi cha African Lyon.
 Kikosi cha Yanga.
 Kocha wa African Lyon, Bernardo Tavares akifuatilia mchezo huo.
Beki wa Yanga, Hassan Kessy akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa African Lyon. Kulia Hamad Tajiri na Halfan Twenye.
 Mwamuzi wa mchezo huo, Rajab Mrope akimuonya kwa kitendo chake cha kupoiteza muda kipa wa African Lyon, Youthe Rostand.
 Amis Tambwe akichuana na beki wa African Lyon.
 Donald Ngoma akimtoka Hamad Tajiri
 Golikipa wa African Lyon, Youthe Rostand akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
 Mwinyi Haji akichuana na mchezaji wa African Lyon.
Wachezaji wa Yanga wakibadilishana mawazo wakati wakitoka mapumziko. Kutoka kushoto ni, Haruna Niyonzima, Deus Kaseke na Thaban Kamusoko.

No comments:

Post a Comment

Pages