HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 28, 2016

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KAMPUNI YA ELECTRONICS CORPORATION YA CHINA

  Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka kampuni ya China Electronics Corporation ya China, Ikulu jijini Dar es Salaam (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Kampuni ya China Electronics Corporation ya China Mr. Liu Liehong, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages