HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 19, 2016

UTT AMIS YATOA ELIMU JUU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO NA VIJANA ILALA DAR ES SALAAM

Ofisa Mwandamizi Idara ya Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Martha Mashiku akitoa elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wafanyabiashara ndogondogo na vijana wa Ilala jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mafunzo Kitengo cha Masoko wa Kampuni ya Uwekezaji UTT-AMIS, Pauline Kasilati akigawa vipeperushi kwa wafanyabiashara ndogondogo na vijana waliohudhiria semina juu ya Uwekezaji wa Pamoja.
Washiri wa semina hiyo wakisoma vipeperushi vya taarifa kuhusu Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS.
Ofisa Mafunzo Kitengo cha Masoko wa Kampuni ya Uwekezaji UTT-AMIS, Waziri Ramadhan akitoa elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wafanyabiashara ndogondogo na vijana wa eneo la Ilala jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mafunzo Kitengo cha Masoko wa Kampuni ya Uwekezaji UTT-AMIS, Pauline Kasilati akitoa elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wafanyabiashara ndogondogo na vijana wa eneo la Ilala jijini Dar es Salaam.
Washiriki wakiwa katika semina hiyo.
Ofisa Mafunzo Kitengo cha Masoko wa Kampuni ya Uwekezaji UTT-AMIS, Waziri Ramadhan akitoa elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wafanyabiashara ndogondogo na vijana wa eneo la Ilala jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa washiriki akichangia mada.
Washiriki wakiwa katika semina hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages