HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 06, 2016

BEKI YA CRDB YATOA ZAWADI KWA WATEJA WAKE KATIKA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza katika hafla ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika tawi la Benki ya CRDB Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uendeshaji na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akimkabidhi zawadi mteja wa benki hiyo, Haika Lawere (kushoto), ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika tawi la Oysterbay jijini Dar es Salaam. 
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uendeshaji na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay akimkabidhi zawadi mteja wa benki hiyo, Graham Magoli.

No comments:

Post a Comment

Pages