HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 27, 2016

KESI YA KUPINGA MAOKEO YA UBUNGE BUNDA YAENDELEA

Mwanasheria Tundu Lissu, anayemtetea Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara, Ester Bulaya, akitoka mahakamani kusikiliza kesi ya kupinga matokea ya ubunge jimbo hilo.  (Picha na Sitta Tumma).
Waziri wa zamani, Stephen Wassira (kulia) akijadiliana jambo na mlalamikaji namba tatu, Janes Ezekiel (kushoto) wa kesi ya kupinga matokeo ya ubunge Jimbo la Bunda Mjini.
Aliyekuwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara, Lucy Msoffe (kulia) akitoka mahakamani kutoa ushahidi wake, kuhusu kesi ya kupinga matokeo ya ubunge jimbo hilo.

No comments:

Post a Comment

Pages