HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 03, 2016

KINANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA LEO


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba,Salvador Valdes Mesa kabla ya kuanza mazungumzo yao leo katika hotel ya Hyatt, Kilimajaro Kempiski jijini Dar es Salaam, leo.Kulia ni Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba,Salvador Valdes Mesa kabla ya kuanza mazungumzo yao leo katika hotel ya Hyatt, Kilimajaro Kempiski jijini Dar es Salaam, leo.Kulia ni Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka na Katibu wa SUKI Dk. Pindi Chana
 Msemji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba,Salvador Valdes Mesa kabla ya kuanza mazungumzo baina ya  Makamu huyo wa Rais wa Cuba na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) leo katika hotel ya Hyatt, Kilimajaro Kempiski jijini Dar es Salaam, leo.
  Katibu wa NEC SUKI, Dk, Pindi Chana akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba,Salvador Valdes Mesa kabla ya kuanza mazungumzo baina ya  Makamu huyo wa Rais wa Cuba na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo katika hotel ya Hyatt, Kilimajaro Kempiski jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiingia ukumbini na Makamu wa Rais wa Cuba,Salvador Valdes Mesa kwa ajili ya mazungumzo yao leo katika hotel ya Hyatt, Kilimajaro Kempiski jijini Dar es Salaam, leo.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa Cuba, Salvador Valdes Mesa , leo jijini Dar es Salaam
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Ujumbea wake katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Cuba, Salvador Valdes Mesa, baada ya mazungumzo leo jijini Dar es Salaam. 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika akimshukuru Makamu wa Rais wa Cuba, Salvador Valdes Mesa, baada ya mazungumzo yao, leo jijini Dar es Salaam
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdlrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Cuba nchini, Jorge Luis Lopez,baada ya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Nchi hiyo leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Spika wa Bunge Job Nugai ambaye baadaye alikutana na kuwa na mazungumzo na Makamu huyowa Rais wa Cuba
 Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Spika wa Bunge Job Ndugai aliyekuwa akisubiri kuzungumza na Makamu huyo wa Rais wa Cuba
 Kaibu wa NEC-SUKI, Dk Pindi Chana akisalimiana na Spika wa Bunge Job Ndugai aliykuwa akisubiri kuzungumzana  na Makamu huyo wa Rais wa Cuba
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Augustinde Mahiga wakati akiondoka hotelini baada ya mazungumzoyake na Makamu wa Rais wa Cuba leo. Kushoto ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka 
Msemaji waCCM Christopher Ole Sendeka akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Augustie Mahiga, wakati akiondoka hotelini na Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Katikati ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Picha zote na Bashir Nkoromo.

No comments:

Post a Comment

Pages