Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye hafla ya uzinduzi wa kampeni endelevu ya Fahari Tanzania, iliyoambatana na utoaji wa Tuzo kwa Bidhaa 50 bora za Kitanzania zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Viwanda,Bisahara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akihutubia kwenye uzinduzi wa kampeni endelevu ya Fahari
Tanzania, iliyoambatana na utoaji wa Tuzo kwa Bidhaa 50 bora za
Kitanzania.
Meneja wa kampeni ya Fahari ya Tanzania Bw. Emmanuel Nnko akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni hizo ambapo alifafanua umuhimu wa kununua bidhaa za Tanzania.
Picha ya Tuzo 50
Vijana wa Kimaasai wakionyesha umahiri wao wa kuimba na kucheza kwa kuruka wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Fahari ya Tanzania kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment