HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

October 16, 2016

Simba YAICHAPA KAGERA SUGAR 2-0

Mshambuliaji wa Simba, Blagnon akiruka juu kupiga mpira wa kichwa katika hekaheka za kufunga bao katika mchezo wa Ligi Kuu  Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar uliofanyika Uwanja wa Uhuru. Simba ilishinda 2-0. (Picha na Francis Dande)
 Muzamiru akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Kagera Sugar.
 Hekaheka katika laongo la Kagera Sugar.
 Kocha wa Simba akitoa mbinu za kuifunga Kagera Sugar.
 Blagnon wa Simba akichuana na beki wa Mtibwa Sugar.
 Kocha wa Simba akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.
 Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo.
 Kichuya akimiliki mpira.
 Shiza Kichuya akishangilia bao la pili aliloifungia timu yake.
Shiza Kichuya (kulia) akishangilia naada ya kuipatia Simba bao la 2.
Kichuya akiwaongoza wachezaji wa Simba kushangilia bao la 2.
Mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya akipiga saluti mbele ya bango lenye picha ya aliyekuwa  kiungo wa Simba, Patrick Mafisango baada ya kuipatia timu yake bao la pili dhidi Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0.  

No comments:

Post a Comment

Pages