Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakiangalia Kiwanda cha ILULU kilichokuwa
kinatengeneza mafuta ambacho mwekezaji amekifanya kuwa Ghala na kukitelekeza na
watu kuiba vifaa na kufanya uharibifu mkubwa, kiwanda hicho kipo Wilaya ya
Rungwe Mkoani Lindi Waziri Mkuu yupo katika ziara ya kikazi katika wilaya ya
Nachingwea na Rungwe Mkoani Lindi. (Picha na Chris Mfinanga).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia baadhi ya magari yalivyo haribika ambayo yalikuwa yanamilikiwa nakiwanda cha kukamua ufuta ILULU kiwanda hicho kipo wilayani Nachingwea Mkoani lindi ambapo mwekezaji aliye kichukua amebadili matumizi na kukifanya Ghala lakuhifadhia bidhaa kushoto kwa waziri mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi.
No comments:
Post a Comment