Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua
jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,
wakati akikanusha taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana
na benki hiyo kufunga baadhi ya matawi yake. (Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua
jambo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua
jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,
wakati akikanusha taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana
na benki hiyo kufunga baadhi ya matawi yake. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na
Utafiti wa Benki hiyo, Tully Mwambapa na Mkurugenzi wa Utawala, Beatus Segeja.
No comments:
Post a Comment