HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 09, 2016

NAIBU SPIKA TULIA AKSON AONYESHA UMAHIRI WAKE KATIKA NETIBOLI

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson (kulia), wa timu ya Bunge  akidaka mpira ulioelekezwa golini kwake walipocheza na timu ya Wilaya ya Chato katika mchezo wa kirafiki wa netiboli uliofanyika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Naibu Spika, Tulia Akson akijaribu kuzuia mpira.
Hakuna kupita.
Naibu Spika (GK) akiwania mpira.

No comments:

Post a Comment

Pages