Afisa Uendeshaji Mwandamizi
wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abas Cothema akitoa mada juu ya
mafao na huduma zinazotolewa na NSSF wakati wa maonyesho ya Financial
Services Expo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mwanachama mpya akikamilisha taratibu za kujiunga na NSSF.
Mwanachama aliyejiunga na NSSF akikamilisha taratibu za kujiunga na NSSF kwa kuweka alama ya dole gumba katika fomu yake.
Afisa Uendeshaji Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abas Cothema (kushoto), akitoa elimu kwa mwanachama wa NSSF wakati wa maonyesho ya Financial Services Expo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wadau aliyetembelea maonyesho hayo akipitia taarfa za NSSF.
Cosmas Gerald Kombe akichukuliwa alama za vidole baada ya kujiandikisha kuwa mwanachama wa NSSF.
Muonekano wa banda la NSSF wakati wa maonyesho hayo.
No comments:
Post a Comment